Bw. Gavana Timamy Akiwa Mokowe

 

Licha ya uhaba wa maji, serikali ya county ya Lamu imejitolea kusambaza tanki za maji kwa wakaazi wa eneo hilo. Hii ni baada ya tatizo sugu la maji lilokumba eneo hilo.

Akizungumza jana kwenye kikao hicho Gavana Issa Timamy amewataka wakaazi hao wawe na subra kwani serikali ya Kaunti imeshanunua vifaa vya ukarabati na hivi karibuni tatizo la maji litazikwa katika kaburi la sahau.

Haya ya majiri siku chache tu baada ya raisi Uhuru Kenyatta kuzuru Kaunti hiyo na kufungua miradi ya maji katika maeneo tofauti katika Kaunti hiyo .

 

Trackback from your site.

Leave a comment

*