Wakaazi wa kijiji cha Nagele wampokea Gavana Issa Timamy

Wakaazi wa jamii ya wa Orma wamemtaka Gavana wa kaunti ya Lamu Issa Timamy kuingilia kati na kuwasaidia iliwaweze kuimiliki ardhi yao iliyonyakuliwa na mabwenyenye katika kijiji cha Nagele wadi ya Witu.

Wakiongea katika hafla ya upeanaji wahati miliki za ardhi zao katika eneo hilo, wakaazi hao wamesema kuna sehemu nyingine kubwa zinazomilikiwa na watu fulani kinyume cha sharia.

Zaidi ya watu 150 kutoka kijiji hicho cha Nagele wamepokea hati miliki za mashamba yao.

 

Trackback from your site.

Comments (1)

  • Avatar

    giiguyole

    |

    hawa wabwenyenye walio nyakua washitakiwe na kupelekwa kwa EACC

    Reply

Leave a comment

*