Uhaba wa fedha wachangia idadi ndogo ya watu kujisajili katika kaunti ya Lamu

Kutokana na idadi ndogo ya wanaojisajili kama wapiga kura katika kaunti ya lamu, shirika la muhuri kwa ushirikiano na tume huru ya uchaguzi na mipaka nchini IEBC, wamefanya kikao na washikadau mbali mbali ili kutoa hamasisho kwa wakaazi wa kaunti hii kujisajili kama wapiga kura.

Akizungumza na wanahabari, Mohamed amesema kuna uhaba wa fedha kutoka kwa tume, ya kuweza kufanya hamasisho ya kuelimisha wakaazi hivyo basi kuna umuhimu wa ushirikiano baina ya tume huru, uchaguzi na mipaka IEBC pamoja na washikadau wa sekta mbali mbali, ili kuweza kusaidiana katika kufanikisha zoezi hili.

Shirika la MUHURI

Shirika la MUHURI

Wakati huo huo mratibu wa kanda ya uchaguzi eneo la pwani(Regional Elections Coordinator) Amina Hussein Soud amesema, changamoto wanazozipitia katika usajili ni uchache wa maafisa wa usajili katika kaunti hii kutokana na uhaba wa fedha.

Trackback from your site.

Comments (2)

 • Avatar

  Jay

  |

  National government do something about it

  Reply

 • Avatar

  munyiri

  |

  ingelikua nibora iwapo county cordinator pamoja na washikadau wake waingilie kati jambo hili ili kuweza elimisha jamii kwani kunawengine hawajui umuhimu wa uchaguzi.asante.

  Reply

Leave a comment

*