Wafanyibiashara wa kaunti ya Lamu wafaidika tena

Shirika la Kenya Coastal Development Project kwa ushirikiano wa serikali ya kaunti ya Lamu limeandaa warsha ya kuwaleta pamoja wafanyibiashara  wadogo kutoka maeneo mbali mbali katika kanda ya pwani.

 Akizungumza kwenye warsha iliyowakutanisha washikadau  pamoja na wafanyibiashara Gavana wa kaunti hiyo Issa Timamy amesema lengo kuu ni kuwahamasisha wafanyibiashara hao na kuwapatia taaluma ambayo itawawezesha kufanya kazi zao na kuwasaidia katika siku za usoni.

 Wakati huo huo mwenyekiti wa kamati ya Coast Development Authority Suleiman Kabole amesema matarajio yake ni kuona wafanyibiashara wadogo wakikuza biashara zao kupitia taaluma na usaidizi ambao wanapewa.

 

Trackback from your site.

Comments (1)

  • Avatar

    HALAL TRADE EXPO KENYA

    |

    Oppertunities of Investment are plenty in Lamu and the County Government under captainship of Governor Issa Timammy had created the Vision into a transformed vibrant County. We Halal trade Expo Kenya invites the Lamu County Government to join us and showcase Halal Tourism,Natural Resourses & Cultural Festivals to rest of East & Central Africa and beyond…BOOK NOW

    Reply

Leave a comment

*