Hon. Governor Issa Timamy visits villagers of Bahamis in Pate Island

Muheshimiwa Bw. Gavana aliwatembelea wanakijiji wa Bahamis kilioko katika kisiwa cha Pate, kuwajulia hali zao akiandamana na First Lady Bi Hajara,waziri wa afya daktari Kombo,waziri wa maasiliano na habari muheshimiwa Ahmed Albaity pamoja na ma officer wake akiwemo Hafswa Diffini, katibu wa wizara ya elimu na akiwe mkurjgezi wa human resources pamoja Bw. Mbarak katibu mkuu wa wafanyikazi waserekali ya County ya Lamu. Bw. Gavana aliagiza kupitia kwa katibu wa wizara ya elimu ijjegwe shule ya chekechea kwaharaka iwezekanavyo na kumuajiri mwalimu wa hii shule kutoka hapohapo kijijini. wanakijiji hao wakawa wenye furaha sana na kumshukuru muheshimiwa.alikua ni jioni ya jumamosi kutoka Faza,15th, October,2016.

 

Trackback from your site.

Leave a comment

*