King Fahad General Hospital gets State-of-art Equipments from National Government

Dr.Nicholas Muraguri, Principal Secretary,Ministry of Health ameezuru Hospitali kuu ya County Lamu King Fahad Hospitali kukagua miradi tofauti tofauti,ikiwemo mradi ulo fadhiliwa na serekali kuu wa milioni mia moja.kadhalika vifaa vya kisasa vya X ray na theatre.Kadhalika alitembelea Hospital ya Mokowe inayo fanyiwa ukarabati na serekali ya Countyya Lamu,Akisindikizwa na Gavana Issa TIimamy na makamu wake Eric Mugo.na County Commiissioner. pia alifika Hospital ya Mpeketoni na ameahi usaidizi wa baadhi ya vifaa.ziara ilifanyika leo 10th October,2016.

Trackback from your site.

Leave a comment

*