Serikali ya Lamu imenunua tinga kwa kazi ya kuziba mashimo barabarani kuboresha usafiri

Juhudi za kurahisisha usafiri zikifikia karibu kumalizika katika kaunti ya Lamu. Tukisubiri serikali ya taifa kujenga barabara kuu ya Lamu serikali ya kaunti imeona ni bora kununua tinga la kuziba mashimo barabarani na kuborasha usafiri.

Trackback from your site.

Leave a comment

*