TUNAPOADHIMISHA SIKUKUU YA PASAKA, TUENDELEE KUTAHADHARI WIMBI LA TATU LA MAAMBUKIZI YA CORONATUNAPOADHIMISHA SIKUKUU YA PASAKA, TUENDELEE KUTAHADHARI WIMBI LA TATU LA MAAMBUKIZI YA CORONA

Jikinge na ukinge familia yako uwapendao kwa ;
1. Kuvalia barakoa kila unapotoka nyumbani
2. Nawa mikono Mara kwa mara
3. Epuka maeneo yenye misongamano ya watu
4. Punguza safari na matembezi yasiyokuwa ya dharura

Kaa Chonjo – Ujumbe kutoka kwa serikali ya Kaunti ya Lamu, H.E Fahim Twaha na Wizara ya Afya


Comments are closed.

Translate »