For People & Progress

Karibu Lamu

Featured

Matondoni Social Hall Lafunguliwa Rasmi Na Gavana

Mstahiki Gavana Issa Abdalla Timamy akiwa pamoja na mbunge wa kaunti ya Lamu muheshimiwa Dario akifungua rasmi Social Hall ya ...
Read More

Kufunguliwa Rasmi Kwa Social Hall Ya Mkunumbi

Gavana wa jimbo la kaunti ya Lamu mheshimiwa Issa Timamy  akiwa Mkunimbi pamoja na sipika wa bunge wa kaunti ya ...
Read More

Hindi Dispensary

Gavana wa jimbo la Lamu akiwa na naibu wake Eric Mugo , Waziri Daktari Kombo na maofisa wake wa Afya ...
Read More

Ramani Ya Maendeleo Ya Kaunti Ya Lamu Yazinduliwa

Serikali ya kaunti ya Lamu kupitia wizara ya Ardhi, Maji na Miundo msigi ikishirikiana na shirika la WWF imezindua rasmi ...
Read More

Lamu County Spatial Plan 2016-2026

The Lamu County Spatial Plan (2016-2026) addresses the aforesaid challenges in order to improve the standards of living of the ...
Read More

Vifaa Vya Uvuvi Vyatolewa Kwa Wavuvi Tchundwa

Wavuvi kutoka mjini Tchundwa eneo bunge la Lamu mashariki,hapo mano tarehe 7/08/2017 walinufaika na vifaa vya uvuvi kutoka kwa serekali ...
Read More