Kiongozi wa chama cha ANC ambaye pia ni Gavana wa Lamu Issa Timamy EGH, OGW ameandamana na Waziri Mkuu Musalia Mudavadi kukutana na kusalimiana na wenyeji wa Majengo na Mbale, Kakamega.

Gavana Timamy ameshuhudia mashindano ya wanawake Waislamu ya Qur’an na kwa sasa yupo uwanjani Bukhungu kushuhudia fainali ya michezo ya shule za sekondari.