Gavana wa Lamu Fahim Twaha anawaalika wauzaji na wanunuzi wa mifugo kutoka county ya Lamu na nje ya Lamu kufanya biashara katika soko la Nagele, Witu jumatano hii tarehe 16/2/2022 na kila jumatano ya wiki zote zifuatazo.